Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena...
Tena mlivyokuwa mnabwabwaja ndiyo mmemuongezea Credits zaidi ya kuendelea kuwa RC na mwakani kuwa sehemu Mbili Kubwa muhimu Tanzania.
Tafuteni Hela acheni Wivu, Roho Mbaya, Uchawi, Ushamba na...
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali.
Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa...
Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135...
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.
Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina...
Mfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe โBabu Ramaโ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takriba miaka saba kwamba anaida fidia ya Sh 986 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania...
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
Serikali ya awamu ya 6 inayoongizwa na mama wa Taifa Samia S.Hassan Ambae ni Suluhu ya matatizo ya Watanzania imekusudia kuanza Ujenzi wa Daraja la Pili linalounganisha Dar es Salaam na Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.