Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani. Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini Nilitaka kuignore...
1 Reactions
5 Replies
59 Views
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
2 Reactions
89 Replies
2K Views
Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi. Ni...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta. Kwa maneno rahisi kama chaji...
18 Reactions
38 Replies
788 Views
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya...
12 Reactions
134 Replies
4K Views
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu? Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na mungu lakini...
2 Reactions
14 Replies
129 Views
Naamini sitamkasirisha mtu kwa maoni yangu! Hivi ndivyo niaminivyo. Uwe ni mweusi sana au mweupe mno ( japo inasemekana hakuna mtu mweusi wala mweupe)! Uwe mfupi mno au mrefu kuliko kawaida...
5 Reactions
13 Replies
222 Views
๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri...
48 Reactions
124 Replies
5K Views
Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi ๐Ÿ˜ƒ Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa...
11 Reactions
45 Replies
475 Views
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu. Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto...
2 Reactions
47 Replies
566 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,832
Posts
49,757,807
Back
Top Bottom