Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu? Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na mungu lakini...
2 Reactions
12 Replies
49 Views
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
7 Reactions
126 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
1 Reactions
0 Replies
1 Views
My Take Ndio hivyo,Ukiwa na pesa unabembelezwa kama vile wachezaji wenye vipaji wanavyopembelezwa kuchezea Mataifa mbalimbali. https://www.instagram.com/p/C7n_jZlo0U3/?igsh=MW9qc2Ntcm92MzJlaw==
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu. Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto...
2 Reactions
46 Replies
484 Views
Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani...
16 Reactions
96 Replies
2K Views
Serikali ya awamu ya 6 inayoongizwa na Rais Samia ambae ni Suluhu ya matatizo ya Watanzania imekusudia kuanza Ujenzi wa Daraja la Pili linalounganisha Dar es Salaam na Wilaya ya Kigamboni. Daraja...
6 Reactions
79 Replies
1K Views
Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science. Mdogo wangu hana raha hapa alichagua...
0 Reactions
2 Replies
46 Views
Mkuu wa Mkoa wa DSM Dr Albert Chalamila amewataka Wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi kitu...
1 Reactions
2 Replies
40 Views
Pamoja na kukusanya mapato kila siku ya Shilingi 500 kupanda kivuko, lakini kuna Shilingi 200 kwa kila anayetumia huduma ya vyoo hapa ferry. Kitu kinachochefua ni huduma mbovu ikiwepo na ubovu wa...
1 Reactions
23 Replies
316 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,832
Posts
49,757,807
Back
Top Bottom