Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake...
5 Reactions
61 Replies
1K Views
Appreciation post to MAKONDA na SILAA Niliwahi kuwaeleza huko nyuma kwamba kwa dunia ya sasa hivi haiwataki watu imara, yaani watu haiwataki wale waliokuwa na misimamo yao, haiwataki wale wapiga...
2 Reactions
3 Replies
11 Views
Kwa Ufupi, Mara tu baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuapa tarehe 19 March 2021 akamteua David Kafulila kuwa mkuu wa Mkoa Simiyu. Kafulila akajielekeza moja kwa moja kwenye kupambana na...
18 Reactions
41 Replies
809 Views
Takriban kwa wiki tatu sasa jeshi la Israel limekuwa likipigana vita vikali vya mtaa kwa mtaa maeneo ya kaskazini ya Gaza. Mwishowe jeshi hilo lilitanga hapo juzi kuwa limedhibiti kambi yote ya...
1 Reactions
12 Replies
239 Views
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
3 Reactions
22 Replies
195 Views
Nawazungumzia Balozi Ammy Mpungwe, Balozi Dr Asharose Migiro na Balozi Ombeni Sefue Hawa ni wazee kwa umri lakini wanaijua Dunia kulingana na majukumu waliyopitia na akili inachoka haizeeki...
0 Reactions
4 Replies
32 Views
Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia. Mwalimu mwingine wa...
-1 Reactions
42 Replies
532 Views
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao Lisu amewaambia anaelekea mkoani...
5 Reactions
19 Replies
189 Views
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa...
6 Reactions
60 Replies
1K Views
Nilikuwa nataka kulala, ghafla nikaona taarifa kwa Miladiii eti 👇🏽 "Kila laini ikatwe Sh50, kwajili ya matengenezo ya Barabara" Aisee imenibidi niahirishe kulala kwanza 😥🙌🏽.....NIMELIA SANA
1 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,929
Posts
49,759,861
Back
Top Bottom