Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
Nimebaki kujiuliza yani sehemu au maeneo kuliko shamiri sodoma na gomora ndio kuna pesa sana kuanzia upatikanaji wa kipato mpaka madili.
Sehemu au maeneo hayo ndio yenye maisha ya kutisha sana...
Wakuu habari za mda huu, naomba kufahamu TCAA mtu wa Diploma of aviation aweza kulipwa kiasi gani na jinsi wanavyofanya kazi, maana nimeona nafasi sehemu.
ASANTENI.
Wanaosema uongozi wa Yanga unaongozwa kisera na viongozi wao ni Ma check bob wapo sawa, uongozi makini usingeweza kumsajili mchezajinkwa 400m na kumpa mkataba wa miaka miwili pekee
Msimu wa...
#MICHEZO Unaambiwa baada ya video za Paredi la Ubingwa wa Yanga kusambaa duniani kote hivi karibuni zimezua gumzo huko nchini uingereza, ambapo hii ni mara baada ya Shabiki Maarufu wa Klabu ya...
Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga...
Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza...
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda.
Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti
Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.