kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira
kitu kama
1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa...
Natoa wito Kwa Wabunge kumuwajibisha Waziri Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa TanRoads walisainiana Mikataba hewa na wakandarasi wa kichina na Sasa mwaka umepita Serikali inasema inaendelea na...
Katika jamii yetu ya kitanzania asilimia kubwa inatumia vyombo vya plastiki kunywea na kulia chakula, lakini nimekuwa nikisikia kuwa plastiki ina madhara makubwa kwa afya ya binadamu, wapo...
Hari zenu wana JF,
Kuna gari aina ya IST imeibwa leo, yeyote atakaeiona naomba atupe taarifa simu 065 954 6653
078 495 5561
T. 441 DZD
Kuna zawadi nono kwa atakae...
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
Nimebaki kujiuliza yani sehemu au maeneo kuliko shamiri sodoma na gomora ndio kuna pesa sana kuanzia upatikanaji wa kipato mpaka madili.
Sehemu au maeneo hayo ndio yenye maisha ya kutisha sana...
Wakuu habari za mda huu, naomba kufahamu TCAA mtu wa Diploma of aviation aweza kulipwa kiasi gani na jinsi wanavyofanya kazi, maana nimeona nafasi sehemu.
ASANTENI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.