Habari zenyu kwema?
Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Katika historia ya binadamu, kumekuwa na viongozi wengi waliokuwa maarufu kwa ukatili wao, unyanyasaji, na matendo mengine maovu. Hata hivyo, inapotokea mabadiliko ya kisiasa, kijamii, au...
Katika jamii yetu ya kitanzania asilimia kubwa inatumia vyombo vya plastiki kunywea na kulia chakula, lakini nimekuwa nikisikia kuwa plastiki ina madhara makubwa kwa afya ya binadamu, wapo...
Anajua kazi ya Wizara ya Ustawi wa Jamii,Jinsia, Walemavu na Watoto aniambie maana naona Makonda Toka akiwa Mwenezi alikuwa anafanya hii kazi.
Wao wanaliowa Mishahara Kwa kaiz hizo na hawafanyi...
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri...
Hari zenu wana JF,
Kuna gari aina ya IST imeibwa leo, yeyote atakaeiona naomba atupe taarifa simu 065 954 6653
078 495 5561
T. 441 DZD
Kuna zawadi nono kwa atakae...
Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza...
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.