Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
0 Reactions
43 Replies
423 Views
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
9 Reactions
54 Replies
1K Views
๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri...
36 Reactions
90 Replies
3K Views
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa Tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
0 Reactions
36 Replies
669 Views
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya โ€˜meterโ€™ na โ€˜Square meter? Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa โ€˜Square meterโ€™, halafu yeye anakupa...
6 Reactions
39 Replies
424 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
3 Reactions
49 Replies
482 Views
Wakati wa kulinganisha sababu na athari za ununuzi wa ardhi na UAE katika nchi za Afrika kama Tanzania, ni muhimu kuangalia motisha na matokeo ya muda mfupi na mrefu. Hapa kuna sababu kuu na...
4 Reactions
24 Replies
572 Views
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
15 Reactions
186 Replies
4K Views
  • Suggestion
Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika: 1. Kuwekeza katika Miundombinu ya...
1 Reactions
2 Replies
53 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,751
Posts
49,754,913
Back
Top Bottom