Mkuu wa Mkoa wa Dar, bwana Chalamila akiwa Ikulu leo amesema ukijiona una miaka 40 au zaidi na huna hela usimlaumu Rais kwani unakuwa umezaliwa wakati wa Mwalimu na katikati vimepita vipindi vingi...
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
gamondi history
kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality. anataka vitu vyake viende atakavyo. in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu.
in...
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu...
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
Sera ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania "Samianomics " inayosimamiwa na mwanadiplomasia namba 1 Rais Samia imeiwezesha Tanzania kuipita Nigeria na kuwa Mshirika mkubwa namba 2 wa India...
1. Unaosema wanakutukana ni kuwa wanasema HARD FACTS about you hakuna mwenye ubavu wa kukutukana.. Wanachokisema wanasiasa wa upinzani kwenye majukwaa ni facta probantia or to the worst side ni...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.