Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo...
SIKU hii ya Jumatatu ilikuwa kama siku nyingine kabisa, asubuhi mwanana hali ya hewa ikiwa ni ya kuridhisha. Pale katika viwanja vya chuo kikuu cha Dar es Salaam maarufu kama Mlimani, wanafunzi...
Tunauza kanzu za harusi na fashion pia mikoani tunatuma kwa uwaminifu tupo masjid mtoro kariakoo sim +255625977427 pia tunapamba maharusi na kukodisha mavazi Kofia elfu 15 viatu elfu 30 joho laki...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa.
Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao...
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha.
Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko.
Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories.
Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na...
Mahala ambapo takataka zimemwagwa na hazijazolewa muda mrefu hupelekea harufu mbaya hata mlipuko wa magonjwa.Je kwenye eneo hilo kama kuna nguzo ya umeme nayo inaathirika?Tazama picha hapo chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.