Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau mko poa!! I am doing well. Mtaa nilohamia mwaka huu mwishoni kuna ki sistaa flan, hiki ki sistaa kwao ni wafanya biashara wanamaduka ya vyakula na maduka ya dawa za binadamu...
2 Reactions
9 Replies
194 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
51 Reactions
298 Replies
4K Views
Unapokuwa na Mfumo wa wapiga kura wachache basi jitahidi kuruhusu Wagombea Wengi Mfano Kura za maoni CCM zinaruhusu Wagombea Wengi kiasi kwamba mpiga kura hajui achukue Rushwa ya nani akatae ya...
1 Reactions
4 Replies
107 Views
Ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi wa umma, amedhulumu uhai wa watu wengi Sana. Amezuiwa kuingia US, amefilisi raia, sijui kwanini huyu amepewa nafasi wakati hata aliyemfuga alimuogopa kwakuwa katili...
5 Reactions
12 Replies
229 Views
Safari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama. Kipande...
12 Reactions
68 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka...
71 Reactions
182 Replies
11K Views
Habari wakuu, Maeneo ninayoishi kuna jamaa kaoa kabinti kabichi kabisaa chuchu saa sita, Mali kweli kweli. Kuna mambo yamekuwa yakinishangaza sana, ujue sisi watu wazima huwa tunaona mengi, Ni...
3 Reactions
18 Replies
186 Views
Watumishi wengi wa umma ni watu waliojariwa kwa vimemo wengine ni mahawara wa viongozi ,watoto wa viongozi, wapwa wa viongozi ,watoto wa mahawara wa viongozi, mashemeji ,wajukuu na marafiki . Hii...
1 Reactions
6 Replies
13 Views
Maisha ya kujitegemea nimeyaanza january mwaka huu na kipato changu kwa mwezi kina range 400k mpaka 600k. Nimepanga chumba kimoja na choo ndani kodi nalipia 80k kwa mwezi, Usafiri natumia 2k kwa...
2 Reactions
23 Replies
163 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,325
Posts
49,742,892
Back
Top Bottom