Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
TFF hebu oneni aibu basi, inakuwaje Tuzo za ligi ya msimu huu zikafanyike mwanzo wa msimu mwingine?
Hili linashangaza sana maana mmeamua kuvunja hata kanuni yenu wenyewe kwa sababu Kanuni ya 11...
Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu
Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona
Kama unataka matokeo ya Uchaguzi...
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua
Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia
Upone haraka...
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya...
Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja
Je kuna uwezekano wa kuzipata ?
Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala
Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala
1. sokwe
2. tembo
3. Popo
4. konokono
5. nyangumi
6. walarasi
7. panya
8. mjusi
9. Ngwini
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.