Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sio utani . Wakuu heshima kwenu. Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja...
3 Reactions
10 Replies
177 Views
Hadi nikawa namlisha kwa mikono, kijiko asije kukimeza lakini wapi!? 😂 👇👇 Titirika kwenye comment mwanawane ukimalizia na lakini wapi. Tucheke wote😆
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanaume wengi huwa wana vimada nnje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nnje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashe vizuri ndio kuwatuliza Lakini tunaambiwa kati ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600 Source Mwananchi Vijana...
8 Reactions
30 Replies
596 Views
Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake. Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na...
22 Reactions
711 Replies
85K Views
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
7 Reactions
105 Replies
1K Views
https://www.pc.go.tz/ Shilole ameonekana akitangaza hospitali hiyo hapo kwenye picha na kusisitiza wagonjwa waende na kwamba ni hospitali Bora. Kimaadili si sawa, ni kama hospitai hiyo inataka...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Unaijuaje Tanzania?
0 Reactions
3 Replies
19 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,280
Posts
49,741,764
Back
Top Bottom