Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaume wengi huwa wana vimada nnje ila huwa wanajiamini sana kuwa hawachapiwi huko nnje, wengi huamini kuhudumia wake zao vizuri na kupiga mashe vizuri ndio kuwatuliza Lakini tunaambiwa kati ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unaijuaje Tanzania?
0 Reactions
3 Replies
19 Views
Copy and paste kutoka kwenye page ya HIV living postive instagram. "Naitwa XXX naishi iringa naomba msaada napitia kipindi kigumu sana sijui nianzie wapi nina stress nyingi sana nimeolewa na...
4 Reactions
20 Replies
474 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
19 Reactions
95 Replies
1K Views
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana. Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
7 Reactions
104 Replies
1K Views
Sio utani . Wakuu heshima kwenu. Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja...
3 Reactions
9 Replies
177 Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
20 Reactions
117 Replies
2K Views
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,277
Posts
49,741,687
Back
Top Bottom