1-
UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2-
Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3-
Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa.
Akiwa anafafanua na...
Binafsi sijapendezwa na baadhi ya wanajamii forum kubeza mtandao wa TikTok. Mwanzo nilikuwa sio mfuatiliaji wa mtandao huo(TikTok) kwakuwa niliona watu wengi hapa wakisema kuwa hauna maudhi mazuri...
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.
Kwa wabongo waliopigika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.