Dar es Salaam.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia.
Ni...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
Ni wazi kuwa vijana hawa ndio taifa la bdae.
Utake usitake, hawa ndio viongozi wetu, ndio waendesha uchumi kwenye maeneo mbalimbali wa hapo bdae.
Ila nikitazama mwelekeo wao na fikra zao napata...
Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.
Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa...
Hakika sikio la kufa halisikii dawa. Wabunge wakishirikiana na mawaziri, machawa na wapambe e.g. baadhi ya waandishi walituaminisha pitisha hiyo sheria ya kubinafsisha bandari zetu kwa DP world...
Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu.
Inapelekea Makonda hata akifanya kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.