Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki Mwita Waitara...
2 Reactions
24 Replies
700 Views
Salaam, Shalom!! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi, Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
11 Reactions
104 Replies
2K Views
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania. Kwa wabongo waliopigika...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
8 Reactions
59 Replies
313 Views
Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko. CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu...
0 Reactions
1 Replies
4 Views
DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu Mwanamke asie na utu na shukrani
9 Reactions
64 Replies
789 Views
  • Suggestion
Elimu ni taa ya nchi na wananchi wenyewe. Elimu ikipatikana Kwa ufasaha Kwa mlaji wa mwisho inachochea watu kuzipenda na kuihitaji katika maisha yao.elimu Kwa baadhi ya wazee wetu walio pata...
0 Reactions
1 Replies
13 Views
Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni...
1 Reactions
5 Replies
170 Views
1. Mwanaume akifurahishwa na mchepuko, mara nyingi hakuna mabadiliko kwa mwandani wake. Inakuwa kawaida tu. 2. Mwanamke akifurahishwa na mchepuko, anazidisha furaha nyumbani na ana act unusual...
9 Reactions
15 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,138
Posts
49,651,722
Back
Top Bottom