Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji. Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
17 Reactions
169 Replies
4K Views
Nadhani heading mmeiyelewa . Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda. Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali. Mniache kwa...
10 Reactions
56 Replies
545 Views
Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana...
35 Reactions
168 Replies
9K Views
Akiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6 Mamia ya...
12 Reactions
29 Replies
836 Views
Yaani ni kama kumsukuma mlevi tu Funguka....
2 Reactions
53 Replies
532 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Wakuu, Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo. Hii inaweza...
7 Reactions
33 Replies
542 Views
Kumekuwepo na tuhuma nyingi kuhusu udhaifu wa mahakama ya Tanzania kwa miaka takribani nane sasa. Jaji Mkuu aliyepo ameonyesha kushindwa kabisa kujitenga na matakwa ya serikali na hivyo kuifanya...
6 Reactions
20 Replies
328 Views
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani. GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha...
6 Reactions
13 Replies
270 Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
28 Reactions
329 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,774
Posts
49,728,831
Back
Top Bottom