Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jukwaa la love connect ni jukwaa sensitive sana. Watu waanze kuingia kwa kuomba kupitia moderators. Sababu kuu ni kwamba kuna members humu wanafanya jukwaa lisionekane serious kiasi kwamba...
2 Reactions
26 Replies
170 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
8 Reactions
43 Replies
350 Views
Niwashukuru members Wote kwa changamoto mbalimbali tunazovumiliana maana bila JF hakuna wa kuiambia Serikali Ukweli JF ni Jukwaa pekee ambalo kama unajitambua unaweza kuisaidia Nchi au Jamii Yako...
1 Reactions
2 Replies
5 Views
Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110871652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya...
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu Kama kichwa kinavyosema, nisizunguke saana, mimi nimesoma stori nyingi tu za humu hasa zile TRUE STORY za baadhi ya member wenzetu. Je, kutoka katika stori hizo ulitamani...
4 Reactions
49 Replies
272 Views
Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni...
9 Reactions
37 Replies
8K Views
Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako! Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa. Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu...
6 Reactions
47 Replies
619 Views
Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa...
14 Reactions
46 Replies
330 Views
Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema. Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki...
16 Reactions
106 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,726
Posts
49,726,691
Back
Top Bottom