Wanasema ukifikiri umeona kila jambo hapa nchini basi ujue unajidanganya!
Huko Monduli Arusha Watumishi nane wamebainika kuiba milioni 52 kupitia mfumo wa poss na cha kushangaza walipewa muda wa...
Wakuu juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua ndomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo hii inaweza kuwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi
Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki...
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko
Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress...
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania(TALGWU), kimesema kinatambua kazi kubwa anayofanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda katika masuala mbalimbali ikiwemo kusimamia miradi ya...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mazito kuhusu Bwawa la Umeme la Nyerere namna lilivyoteketeza Watu huko Rufiji.
Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Mwembeyanga alipohutubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.