Naona maji yanazidi kuzidi unga huko Middle East
Shambulizi la Hezbollah limeondoka na roho za wanajeshi 18 wa Israel papo hapo na huku makumi wakiwa majeruhi
Hii inaitwa kujitumbukiza kwenye...
Kuna video ya CCTV imesambaa wiki hii ya mwaka 2016 ambapo Sean Combs, Diddy a.k.a Msomali anaonekana akimtandika malaya Cassie kama mbwa mwizi hotel aliyokuwa anammega.
Iko hivi wakuu na hili...
Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi.
Moja kwa moja kwenye mada
Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah
Mungu ibariki Israel
IDF kills top Islamic Jihad commander in...
Kiufupi Kwa Sasa tumefika mahala ambapo dizi hizi tulizoletewa zimekuwa chambo ya kuwapumbaza watu wenye akili ndogo na kuwafanya mafukara.
Mda umefika Sasa zipigwe marufuku Ili watu wajikite...
Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai...
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.