Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
Wanajukwaa,
Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024,wabunge,madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki.Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi...
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.
Maria mamake ni...
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja
Bunge limepoteza mvuto kabisa
Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge
Nakumbuka kabla ya bunge
Kuwa la chama kimoja
Wakati huu wa bunge la bajeti...
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo
Aidha RC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.