KAMA ULIKUWA HUJUI...
Nchi ya Latvia ina idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika bara lote la ulaya
Wanawake ni asilimia 17 zaidi ya idadi ya wanaume
Yaan kwenye wanawake 117 kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
Bwana mdogo Lucas Acha kuitafakari mambo kama Mzee wa miaka 90 hii Dunia imebadilika sana
Upinzani ni nguvu ya Hoja siyo Idadi ya Wanachama
Samahani lakini 😂🔥
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.
Habari...
Kabila la Yoruba la Nigeria Ndio linaongoza kuzaa Mapacha hapa Duniani, wao wanaita Yoruba the land of twins.
Kwa jinsi navyopenda Mapacha, nataka kujua ni kabila gani hapa Tanzania Wana Mapacha...
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria...
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
Sina maneno mengi. Mimi ni mpenzi wa Magwaride ya Kijeshi. Katika magwaride ya nguvu ambayo JW wamewahi kufanya ni hili la mwaka 2021, miezi michache kabla ya Kifo cha Magufuli.
Kweny hili...
kunataarifa meli ya abibiria (spice) itokayo Unguja kwenda Pemba imezama katika mkondo wa Nungwi mwenye taarifa kamili atuwekee.
Updated Posts:
_________
TAARIFA RASMI: Waliookolewa jumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.