Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news. Lakini Cha ajabu...
5 Reactions
102 Replies
601 Views
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali...
2 Reactions
28 Replies
126 Views
Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
MODS, Post yangu inayohusu lugha ya alama sikuiweka kwenye kurasa ya SIASA kwa bahati mbaya, nimeiweka huko kwa sababu inahitaji maamuzi ya kisiasa na si burudani kama akili zenu zilivyowatuma...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa...
1 Reactions
16 Replies
337 Views
Wanaukumbi. Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya...
3 Reactions
30 Replies
406 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
14 Reactions
101 Replies
5K Views
Haya haya nukuletea hapa nchi kubwa au maarufu duniani wenda ulikuwa hufahamu kuwa vyeo vyao vya Urais ni kama bosheni tu havina mamlaka makubwa kulinganisha na vyeo vingine. No.1 China Tuanze na...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Our grandfathers never told us about this part of slavery.
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga...
9 Reactions
41 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,927
Posts
49,677,153
Back
Top Bottom