Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
8 Reactions
74 Replies
908 Views
Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo...
1 Reactions
20 Replies
556 Views
Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
10 Reactions
101 Replies
2K Views
Wafanyabiashara katika Mji wa Mlowo, Mbozi wamedaiwa kupandisha vocha za mitandao ya simu toka bei halisi na kuongeza kiwango kati ya shilingi 100 hadi 200 kutokana na eneo hali ilioibuka...
3 Reactions
32 Replies
785 Views
Naitajia maelezo nielewe umihimu wa ku update Android software na Hasara usipo update android
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza. Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe. Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
6 Reactions
68 Replies
656 Views
Hii ni list inayo onesha mabunge yanayo ongoza kwa vituko, fujo na vibweka bungeni hapa duniani. 1. Bunge la Taiwan Hii kwangu naanza na hawa wachina wa Taiwan hawa jamaa wanachekesha kweli...
3 Reactions
11 Replies
168 Views
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
15 Reactions
105 Replies
2K Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
62 Reactions
256 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,678
Posts
49,669,299
Back
Top Bottom