Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu Watanzania, Jamani mfumo wa maisha umebadilika sana tupo ulimwengu wa Technolojia ya hali ya juu. Sababu ya kuandika uzi huu imetokana na kupokea habari ya msiba ya aliekuwa rafiki...
4 Reactions
13 Replies
142 Views
Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana. Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine...
6 Reactions
16 Replies
248 Views
Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi...
6 Reactions
71 Replies
923 Views
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai. Akizungumza...
1 Reactions
16 Replies
69 Views
Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ? Nataka kufaham tu, kama hulijui...
6 Reactions
10 Replies
268 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
223K Views
Mchezaji aliyewahi kuichezea Simba kwa siku 54 Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya Simba na anatakiwa kulipwa milion 500 za Kitanzania kwa kukiukwa mkataba wake wakati anachezea...
1 Reactions
7 Replies
183 Views
Nauza compressor 50ltr aina ya edon, tsh 250,000/-.ipo mbezi beach karibu na masana hospital.
0 Reactions
1 Replies
23 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,784
Posts
49,672,250
Back
Top Bottom