Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari zenu Watanzania,
Jamani mfumo wa maisha umebadilika sana tupo ulimwengu wa Technolojia ya hali ya juu.
Sababu ya kuandika uzi huu imetokana na kupokea habari ya msiba ya aliekuwa rafiki...
Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo Yani wamekuacha.
Je, utakuwa Karibu nao kwa kujipendekeza ili wakupe connection Au utaamua kujitenga nao?
Ukiingia kanisa katolimi unaweza kudhani we ni fala wa hali ya juu na mungi hakutambui kabisa kwa vyeo hivi walivyojipachika hawa watu.
1. His lordship...... Askofu mkuu
2. His grace...
Salaam, Shalom!!
Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho.
Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa...
Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.