Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
14 Reactions
89 Replies
2K Views
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
3 Reactions
14 Replies
183 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views
Chama cha ACT-WAZALENDO kilianza vizuri katika ujenzi wa chama hasa ngazi juu lakini leo chama cha ACT WAZALENDO kimeshusha madaraka kwa viongozi wa majimbo 264. Majimbo haya 264 ambayo...
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima hautapike. Sasa na mimi namuenzi Lisu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
8 Reactions
46 Replies
259 Views
Habari wakuu, Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
13 Reactions
53 Replies
908 Views
Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba. Asante
2 Reactions
11 Replies
211 Views
A
Sio tu serikali inaweza kujua matatizo yote kupitia kwenye mitandao ya jamii ila nimekutana na huyu anajiita sheik zaid makubul kuhusu maada za kibaguzi na makabari. Kwako waziri Doroth gwajima...
0 Reactions
6 Replies
219 Views
Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
8 Reactions
47 Replies
700 Views
TUNDU LISSU ATOA USHAHIDI WA FEDHA CHAFU MBELE YA KAMATI KUU Leo Tar 11 Kikao Cha Kamati Kuu Kimeketi na Kujadili maswala mbalimbali, Moja ya Agenda Muhimu ilikua ni Swala la Fedha Chafu ambalo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,607
Posts
49,667,532
Back
Top Bottom