Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran...
4 Reactions
12 Replies
706 Views
Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
8 Reactions
90 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router Nina Smart TV yenye kuingia...
5 Reactions
52 Replies
783 Views
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
6 Reactions
50 Replies
568 Views
Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini. Jitihada hizo zimefanyika mkoani Manyara...
0 Reactions
1 Replies
25 Views
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima hautapike. Sasa na mimi namuenzi Lisu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
10 Reactions
80 Replies
591 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views
Habari wana JF mashine ya kupakia na kufunga viuongo nk. Bei ni m4.5 inapatikana dar karibuni
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
37 Reactions
113 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,611
Posts
49,667,731
Back
Top Bottom