Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja...
4 Reactions
17 Replies
360 Views
Lete hela ujishindie kiwanja cha ofa! Umeme upo. maji yapo. Eneo Wilaya ya Nyamagana (Jiji) Kata Fumagira Ikumbukwe hamna bei kama hii maeneo haya.
2 Reactions
9 Replies
158 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tafadhalini sana mnisaidie utaratibu sahihi wa kujiunga na dini ya mayahudi yaani Judaism Nimevutiwa sana na dini hiyo siyo tu kwa uwezo...
6 Reactions
16 Replies
166 Views
Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga...
3 Reactions
27 Replies
465 Views
Salaam, Shalom!! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi, Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
44 Reactions
219 Replies
4K Views
Nilikuwa mdau Sana wa uagizaji wa bidhaa ndogo ndogo toka nje na tayari Nilikuwa mzoefu kwenye chaguzi bidhaa ilikuwa ni nadra kupokea bidhaa isiyokuwa bora. Na kiutaratibu ilikuwa kwa kampuni...
0 Reactions
9 Replies
261 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
5 Reactions
14 Replies
412 Views
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........ Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
30 Reactions
74 Replies
958 Views
SWIM WITH THE TIDES Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba "ogelea na mawimbi" au "yatumie mawimbi". Na ukifanya hivi utafanikiwa sana sana. Labda tutazame mifano michache shall we ?! MFANO 1. Wewe...
5 Reactions
7 Replies
62 Views
Habari za wakati huu Wana JF, ni takribani wiki tatu Toka mkuu Wa maudhui clouds media group ndugu Sebastiani alivokuja na urithi Wa marehemu captain gander G Habash na kutangaza warithi Wa...
3 Reactions
18 Replies
107 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,491
Posts
49,664,093
Back
Top Bottom