Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
16 Reactions
81 Replies
3K Views
Mwimbaji Harmonize amesema May 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambayo ameipa jina la ‘Muziki wa Samia’. Inasemekana Harmo ambaye...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa . Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose...
40 Reactions
117 Replies
3K Views
Akitokeq malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
16 Reactions
97 Replies
1K Views
Kwanza nitoe pole Kwa taifa la Iran Kwa kumpoteza Kiongozi wao, Pili, inafaa Ulinzi uimarishwe Kwa Ayatollah Ali ili kumlinda na mashambulizi ya maadui ambao dunia inawajua Ila ndo vile
2 Reactions
23 Replies
401 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
129K Views
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji, na kuhakikisha kuwa bei za bidhaa na huduma zinapangwa kwa msingi wa nguvu ya soko. Hayo yameelezwa...
0 Reactions
1 Replies
35 Views
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa...
2 Reactions
17 Replies
422 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,479
Posts
49,663,731
Back
Top Bottom