Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi. Maria mamake ni...
-1 Reactions
23 Replies
429 Views
Sioni mantiki ya kuwapa wanachuo elfu 10 ya kujikimu. Tuongee tu uhalisia ,hiyo elfu 10 ni pesa ya mume ,mke na watoto ,sasa huyo mwanafunzi mnayempa elfu 10 kwa siku ya matumizi anakula au...
3 Reactions
30 Replies
151 Views
Utafiti na DNA zaonyesha waisrael sio wayahudi halisi bali ni kilundi cha wahuni fulani kutokea Ulaya Dr. Areilla Oppenheim from the Hebrew University of Jerusalem, did the first extensive DNA...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona...
8 Reactions
69 Replies
1K Views
Kuna video ya CCTV imesambaa wiki hii ya mwaka 2016 ambapo Sean Combs Diddy a.k.a Msomali anaonekana akimtandika malaya Cassie kama mbwa mwizi hotel aliyokuwa anammega. Iko hivi wakuu na hili...
1 Reactions
4 Replies
62 Views
Habari zenu wanajukwaa.. Haya ndio makundi ya generations, namna yalivyokuwa grouped katika miaka watu waliyozaliwa, kuanzia mwaka 1901.. Kitu nilichonote ni kwamba wamegroup katika interval ya...
6 Reactions
30 Replies
731 Views
Nimepata mchumba na nimekua nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa,nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Abadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu. Binafsi...
4 Reactions
18 Replies
136 Views
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
14 Reactions
120 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,878
Posts
49,643,556
Back
Top Bottom