Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kunya ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kunya ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani...
0 Reactions
8 Replies
9 Views
Nimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo! kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.
1 Reactions
46 Replies
583 Views
Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini...
2 Reactions
20 Replies
82 Views
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho...
3 Reactions
49 Replies
366 Views
Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais...
0 Reactions
7 Replies
39 Views
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na...
1 Reactions
4 Replies
18 Views
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
8 Reactions
86 Replies
2K Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
18 Reactions
304 Replies
3K Views
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya...
5 Reactions
69 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,529
Posts
49,633,912
Back
Top Bottom