Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi.
Maria mamake ni...
Abadni sitapingana na vitabu vitakatifu ambavyo vinaamini uwepo wetu katika dunia ni wenye lengo la kumuabudu mungu,quran inasema sikuwaumba majini na binadamu isipokuwa waniabudu.
Binafsi...
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
Kuna video ya CCTV imesambaa wiki hii ya mwaka 2016 ambapo Sean Combs Diddy a.k.a Msomali anaonekana akimtandika malaya Cassie kama mbwa mwizi hotel aliyokuwa anammega.
Iko hivi wakuu na hili...
Nimekuwa najiuliza KAZI za Waziri ni zipi?Je ni kusimamia Sera ktk Wizara yake au Kuzunguka Nchi nzima kutatua MIGOGORO?
Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zinazoongoza kwa Migogoro Nchi kwa Miaka...
Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu...
Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili...
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya...
Kimsingi Wabunge wa Viti maalum kazi yao kubwa ni kupiga makofi na kutoa sauti kubwa ya " NDIO" wakati wa kupitisha vifungu na kazi hii inaweza kufanywa kwa Ufanisi na Robot kwa sababu atakuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.