Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Vijana wengi wanatamani kufanikiwa ktk Biashara hata kwenye vitu vingine ila wanatafuta njia za chap watoboe ila nikuambie uhalisia maisha ni marathon usiwe na papara ya mafanikio ya harakaa...
1 Reactions
4 Replies
13 Views
Ni Kauli nzito sana Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi...
1 Reactions
7 Replies
122 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
70 Reactions
437 Replies
12K Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
28 Reactions
247 Replies
4K Views
Dispensary inauzwa 120M, ipo Michese Dodoma, eneo lina ukubwa wa 956 mita za Mraba, majengo mawili, Sehemu yakusubiria wagonjwa na jengo la RCH. Hakuna Dalali
3 Reactions
3 Replies
81 Views
Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya...
2 Reactions
21 Replies
679 Views
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu. Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
16 Reactions
57 Replies
1K Views
Napigwa bit kwa kuhisi kua nataka kuwasiliana na mama yake mtoto nikiwa na mke wa sasa.. Vipi huko mwenzangu? Imekua kesi, yani sipat wahasa wa kuongea na dogo kwa sasa Ana miaka 4. Toka niachane...
3 Reactions
32 Replies
300 Views
Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Na kwa Bahati nzuri akaweka kizuizi kwa kupitia uwezo wake wa kiungu hili tusiweze kushuhudia viumbe hivyo ambavyo havionekani kwa macho yetu...
38 Reactions
999 Replies
253K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,083
Posts
49,622,084
Back
Top Bottom