Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
64 Reactions
262 Replies
8K Views
Hapa ni Vianzi Vikindu barabara ni shida na mbunge anajua, tusaidieni wadau kwani ni aibu, Wadau mtusaidie.
1 Reactions
5 Replies
91 Views
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza. Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe. Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
6 Reactions
78 Replies
781 Views
Hii ni list inayo onesha mabunge yanayo ongoza kwa vituko, fujo na vibweka bungeni hapa duniani. 1. Bunge la Taiwan Hii kwangu naanza na hawa wachina wa Taiwan hawa jamaa wanachekesha kweli...
3 Reactions
13 Replies
240 Views
Naomba kupata elimu kwa wataalamu wa barabara TANROAD kwa nini matuta yanayowekwa kudhibiti mwendo kwenye mteremko, yanawekwa hata upande wa pili wa kupanda mlima? Nina maana kuwa bumps kama hizo...
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
3 Reactions
5 Replies
37 Views
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja...
17 Reactions
49 Replies
1K Views
Kuna baadhi yetu hatujui ni wakati gani na mazingira gani tutumie loud speaker katika rununu zetu, kwakuwa ipo hiyo option basi wewe unatumia tu. Kuwa muangalifu sana unapotumia loud speaker...
3 Reactions
25 Replies
389 Views
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya. DAR ES SALAAM. Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
29 Reactions
160 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Mojtaba ambaye ni mtoto wa pili wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei Mojtaba Khamenei na Rais Ebrahimu Raisi , aliyefariki...
1 Reactions
14 Replies
422 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,682
Posts
49,669,386
Back
Top Bottom