Facts-
Biblia ni kitabu cha kale zaidi dunaini zenye zaidi miaka 3000 licha ya kuwa kitabu cha imani lakini kimeba historia ya mambo ya kale kwa usahihi kabisa,ushahid wa kihistoria nje biblia...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Mojtaba ambaye ni mtoto wa pili wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei
Mojtaba Khamenei na Rais Ebrahimu Raisi , aliyefariki...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.
Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part...
Salaam wana JF, k
Kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hizi kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia coz...
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule......,
Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.