Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haya haya nukuletea hapa nchi kubwa au maarufu duniani wenda ulikuwa hufahamu kuwa vyeo vyao vya Urais ni kama bosheni tu havina mamlaka makubwa kulinganisha na vyeo vingine. No.1 China Tuanze na...
1 Reactions
12 Replies
227 Views
PS: Sio Copywriting, Sales, Content Marketing, Freelancing, Affiliate Marketing, Forex, Crypto, Graphic Design wala Coding! 1). Ningejifunza Kuhusu…MINDSET! Kwanini? Hakuna kitu kina SHAPE...
9 Reactions
15 Replies
477 Views
Salaam, Shalom!! Kuna wimbo kinaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho. Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, mwingine wakiuwawa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Raisi Kigeugeu Duniani, Alikurupuka na kutoa kauli ya kisiasa baada ya kuvutishwa bange na wahuni HAMAS Kitu cha Gaza ni balaa lazima uwe mwehu.. Bange ilipoisha anaambiwa babu umefanyaje haamini...
1 Reactions
13 Replies
624 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule. Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi lengwa. Mpaka...
0 Reactions
12 Replies
161 Views
Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13 Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha --- Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu...
11 Reactions
67 Replies
1K Views
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi...
3 Reactions
74 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,821
Posts
49,673,674
Back
Top Bottom