Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea...
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa.
Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
Dr Kigwangalla ni kama Mganga wa Kienyeji Wakati mwingine huongeaga kinyume chake
Najua Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe anaweza kukwazika kwa kuitwa Ayatollah au Kabaka na huyu Kigwangalla lakini...
Waziri Mkuu Bibi, katika kauli thabiti na pasipokupepesa macho ametoka hadharani kulaani kile alichokiita makosa makubwa ya Muendesha Mashtaka wa ICC.
Netanyahu anasema Israel itajilinda na...
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.