Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jinamizi la umasikini ni jinamizi la kale sana ambalo limeshika jamii ya mtanzania kwa sehemu kubwa. Ukiweka familia 10 utakuta zenye afadhali hazizidi 2. Kihistoria, tokea awamu ya kwanza jamii...
21 Reactions
48 Replies
752 Views
Moderator tunaomba ufuatiliaji wa mhusika Ili wadau wa jf wapate kujua kinachoendelea Wadau hamjamboni nyote? Naomba mwenye taarifa zozote kuhusu kinachodaiwa kumpatia Mkuu wa Kanisa la...
0 Reactions
9 Replies
10 Views
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amewataka Watanzania kamwe wasikubali kurudi kwenye Bakora za Shujaa Magufuli aliyewanyoosha kwa kuzuia mikutano ya kidemokrasia Kuna watu wanasema udikteta ni...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
19 Reactions
124 Replies
3K Views
GM corn set to stop man from spreading his seed Important notice:This article is more than 22 years old,so there is no doubt the maize is already being planted by farmers and we probably are...
1 Reactions
3 Replies
82 Views
Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani...
3 Reactions
31 Replies
209 Views
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
3 Reactions
15 Replies
210 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
150 Replies
9K Views
Kuna lidude limewekwa bungeni nimeona hata wabunge wenyewe wanashangaa. Zaidi ya upigaji kwa aliyelileta je roboti lile MDEBWEDO linamanufaa gani kwa bunge? Kama manufaa yapo basi Serikali iwekwe...
3 Reactions
39 Replies
660 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,661
Posts
49,637,391
Back
Top Bottom