Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress...
0 Reactions
6 Replies
43 Views
Kuna lidude limewekwa bungeni nimeona hata wabunge wenyewe wanashangaa. Zaidi ya upigaji kwa aliyelileta je roboti lile MDEBWEDO linamanufaa gani kwa bunge? Kama manufaa yapo basi Serikali iwekwe...
2 Reactions
36 Replies
614 Views
Habari wana Jamvi la JF naamini kuna watu wanafanya Biashara na wapo kwenye Peak yani kilele cha mafanikio. Ila kuna shida inaweza kumpata mtu kupelekea akatengeneza hasara ya kupunguza faida...
4 Reactions
72 Replies
1K Views
Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
17 Reactions
90 Replies
2K Views
Huyu mwalimu amepatikana na hatia huko Uingereza kwa kutembea na wanafunzi wake! To yeye kuwa makini! A "predator" teacher has been found guilty of having sex with two schoolboys. Rebecca...
1 Reactions
7 Replies
104 Views
Jinamizi la umasikini ni jinamizi la kale sana ambalo limeshika jamii ya mtanzania kwa sehemu kubwa. Ukiweka familia 10 utakuta zenye afadhali hazizidi 2. Kihistoria, tokea awamu ya kwanza jamii...
20 Reactions
40 Replies
680 Views
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. Saouth Africa na Uturuki wanaona...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Hawa jamaa wanaotengeneza meme huwa wana waza nini?😅😅😅
31 Reactions
80 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,651
Posts
49,637,117
Back
Top Bottom