Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
14 Reactions
92 Replies
2K Views
E bana wanajamvi inakuwaje? Nyie Sunni tunawajuwa vizuri mlivyo na chuki kwetu. Huu msiba wa mpendwa wetu Ebrahim Raisi ni wetu washia siyo wenu. Acheni kujipendekeza. Mtuache tuomboleze kwa...
1 Reactions
11 Replies
134 Views
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia. Wapo waumini wa kanisa moja...
16 Reactions
44 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike. Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
19 Reactions
131 Replies
1K Views
Sidhani kama mh James Mbatia naye ana mtazamo huo wa Lyatonga wa miaka ile maana anataka kuhamia Chadema lakini anasitasita Ni vema Chadema wakasajili Wanachama wapambanaji watakaoendana na...
0 Reactions
4 Replies
54 Views
Hivi hii inshu ya kupandisha bei za vocha huku mitaani kwa 10% katika kila thamani ya vocha wahusika wenyewe hawajaliona hili au wameamua kuwa “BUSINESS PARTNER” na akina Manki huko madukani?
3 Reactions
7 Replies
69 Views
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu akana Israel kuangusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran asema kama ingetaka kulipiza kisasi Kwa Iran Kwa shambulio waliloishambulia Israel Kwa kuwarushia...
10 Reactions
54 Replies
1K Views
Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
0 Reactions
17 Replies
531 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,636
Posts
49,668,099
Back
Top Bottom