Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana.
Amesema Chi zote Zenye...
Wakuu
Nina hili tatizo muda mrefu…. hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.
Nashukuru mungu ni mwanaume ningekua demu nadhan ningeteseka.
vitu ninavoogea
1.Deto ya maji
2.Sabuni ya...
Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari...
Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC
Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu?
Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Hivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili...
kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke
kama watoto ni baraka kwanini watu hawaombei kupata watoto wenye usonji, vipofu, bubu, viziwi, vilema wa viungo...
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.