Je ni;
1: Juhudi, Maamuzi na Muda
2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa)
3: Bahati (ngekewa)
4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa)
5: Mapenzi na Kibali cha Mungu
6...
Jamani jamani jamani! Ukimwi unatisha! Ukimwi ni kuchungulia kaburi hata kama utajiliwaza vipi?
Mimi nilikuwa mtu wa bata saana! (Hata sasa hivi japo nimekua).
Siku hiyo nikawa pale Sinza mori...
Habari Wana jf.
Naomba kueleweshwa kuhusu makadirio ya Kodi. Nimeanza biashara ya vipuri vya pkpk takribani mwaka mmoja sasa.
Mara ya kwanza kwenda t.r.a nilikadiliwa 89000 na mwaka huu nimerudi...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Mtanzania, Denis Mfumbulwa (44) anayedaiwa kujipatia huduma ya kula katika Hoteli ya Serena bila kulipa, ameachiwa huru katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es salaam kwa sababu hakuna...
**weekend hii tulivu nimekaa nikatafakari juu ya Ukuu wa baadhi ya wanaume jamani **
Yaani unakuta mwanaume anagusa kona zote,
Kushoto kulia
Kaskazini mpaka kusini
Anakata mabonde na milima bila...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.