Rais wa Lithuania Gitanas Nauseda hivi karibuni amesema kuna haja ya kubadilisha jina la “Ofisi ya Uwakilishi wa Taiwan nchini Lithuania” ili kutuliza uhusiano kati ya nchi hiyo na China. Baada ya...
Ni miaka inakaribia 20 toka Uwanja wa Taifa maarufu kama Benjamin Mkapa Stadium, au Kwa Mkapa au Lupaso uzinduliwe, tumeshuhudia mfululizo wa matatizo mengi hususan makubwa kama yafuatayo;
1...
WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Kwa mujibu wa tafiti...
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Hakikisha katika kipato chako unachokipata usisahau kutoa sadaka
Usisahau kuwakumbuka watoto yatima
Usisahau kuwakumbuka wenye mahitaji maalumu
Usiwasahau wenye hali za chini
Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh "
Nikinukuu baadhi ya verse
" Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe "
Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse...
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.