Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
1 Reactions
15 Replies
95 Views
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha...
2 Reactions
34 Replies
339 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nape Nauye waziri wa Habari na Mawasiliano amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika...
6 Reactions
73 Replies
1K Views
Baada ya kutoka dar to arusha nilipita manyire kwa mjomba baadae nikaingia njiro kwa ndugu yangu mtinange kabla sijafika kwa ndugu yangu nikapumzika kwanza pale The Pillars Lounge nipate mvinyo na...
3 Reactions
17 Replies
104 Views
Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi? Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa...
2 Reactions
8 Replies
314 Views
Salaam sna wna jf familia yetu pendwa.......! Mim ni kijana wa umri wa miaka 33 bado sijaoa nina harakat zngy t za mjini znazonfnya naendlea kuish vzr tu kw mapenz ya mung kwnye hii nchi yetu ya...
1 Reactions
16 Replies
198 Views
Sasa hivi kumekua na ongezeko kubwa la baadhi wa watu kuwatumia watoto wadogo kujipatia kipato kwa kuomba omba. Wengi kati ya hao wanao ombaomba wanaonekana wanauhitaji wa chakula na fedha...
1 Reactions
2 Replies
45 Views
Habari Wana forum, Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo...
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
10 Reactions
76 Replies
2K Views
Shalom, Tuunduiz Lissua myopia hawazungumzii haya mazito Nasikitika kusema kwamba mambo ya muungano yalikuwa 22 na hakuna kikao halali cha Bunge la muungano kimeondoa baadhi ya mambo ya...
2 Reactions
14 Replies
201 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,166
Posts
49,624,579
Back
Top Bottom