Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
Wakuu habari, naombeni msaada wenu, iko ivi kuna manzi niko nae, ex wake alichukua simu ya manzi wangu na kuni block kwenye calls za kawaida, yaank nikipiga au manz akicheki simu zinakuwa zinakata...
Habari kwa wanaJamiiForums wote!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya jana baada ya kuifungua account yangu ya whatsApp niliendelea na mambo yangu ya kawaida (ku-chat na kuangalia...
Je, ulishawahi kujiuliza kwanini wahudumu wote wa mlimani city ni pisi kali?
Kwanini asilimia kubwa ya wahudumu wa ndege (air hostes) ni pisi kali?
Kwanini wahudumu wa Baa asilimia kubwa ni pisi...
Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja
Bunge limepoteza mvuto kabisa
Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge
Nakumbuka kabla ya bunge
Kuwa la chama kimoja
Wakati huu wa bunge la bajeti...
Habari Wana JF,
Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni.
Ahsanteni 🙏
Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia?? Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.