Baada ya kutoka dar to arusha nilipita manyire kwa mjomba baadae nikaingia njiro kwa ndugu yangu mtinange kabla sijafika kwa ndugu yangu nikapumzika kwanza pale The Pillars Lounge nipate mvinyo na...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA)
Au redio Tanzania daresalaam (RTD)
Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko.
Mara...
Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya .
Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara.
Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.