Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
3 Reactions
7 Replies
32 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
  • Suggestion
Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha...
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Ndugu zangu nilijiunganisha na airtel 5g unlimited internet nikajua kwamba hawana limit ya volume kumbe unahesabiwa gb na GB zikiisha speed ya internet inapungua. Mimi nilitoka kuwa na speed ya...
9 Reactions
93 Replies
5K Views
Wewe kama mwana Jf unafahamu kwamba wabunge wapo bungeni kujadili bajeti ya nchi? Tangu bunge lianze kujadili bajeti umefuatilia na kuona mjadala wowote wa kibajeti? Kwa namna mambo yanayokwenda...
1 Reactions
6 Replies
57 Views
Kwa upande wa huku dar bado kila ninakoenda watu wengi wanalia mtandao
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
3 Reactions
18 Replies
300 Views
Kama una details za hii gari naomba abc zake hususani bei yake ikiwa yard hapa bongo kuna mtu shimo limetema huko.
1 Reactions
3 Replies
34 Views
Mbunge Mohamed; Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake amesema hayo leo Bungeni wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Huyu ndiye Mbunge ambaye aliwahi kusema watu...
1 Reactions
4 Replies
88 Views
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
9 Reactions
65 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,017
Posts
49,620,123
Back
Top Bottom