Salam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini,watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu...
Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko.
mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa...
Habari zenu wanajamvi wa Jf. Kiukweri Mbeya ni mji ambao una wajasiliamali wengi sana. Hawa wajasiliamali ni vijana ambao wameweza kufanikiwa katika umri mdogo na kuweza kumiliki mitaji mikubwa...
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS
Sababu ni hizi
1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
Carlo Ancelotti raia wa Italia ana rekodi kubwa ya kuwa kocha aliyefika Fainali 5 na kubeba mataji manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), mara 2 akiwa AC Milan na mara 2 akiwa...
Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo...
Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua...
Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni...
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.